2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844_
.
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 370,000/= X 3
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI KODI YA MWEZI MMOJA
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 KIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
#GARDEN
BEI NI 370,000/= X 3
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA ZEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA