2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 300X3 TU
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5
PIA UNAWEZA TOKEA MBEZI MWISHO KUELEKEA MARAMBA UNASHUKA KITUO TANESCO DK 6 TU KWA MIGUU UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE:
===========
VYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
.
KODI NI 300,000 X 3
.
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0742260844
0657384670