2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(360,000X5) MBEZI MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
#MBEZI_MWISHO NJIA YA MALAMBA 
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 360,000\/= X 5,6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA 
#PUBLIC TOILET 
#PARKING KUBWA 
#ZIPO APARTMENT 20 TUU KWENYE FENSI MOJA 
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA  UMBALI  DAKIKA 4 KWAKUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA LAMI 
BEI NI 360,000\/= X 5,6
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU 
0716223412
0683597453



















