2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA HAPA NI MBIO ZAKO TU
Vyumba 2 vya kulala na Kimoja master
Sebule kubwa
Jiko la nguvu Linafungwa makabati
Choo cha wageni
Parking
Hapa ni full Ac Sebule tu
Maji na Umeme mita yko
Heater
Dakika 2 toka lami
Kodi 700,000/= ×6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
:MKATABA UNAANZA TAREHE 1.1.2026 KULIPIA RUKSA
PIGA SIMU O677370515


















