2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: MBEZI MWISHO NJIA YA MPIJI(KIBAONIII)
💧Bei :: 300,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (kimoja ni Masta)
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;0782428327