2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







230,000x6 MPYA MBEZI MWISHO MPIJI MAGOHE MACHIMBO
230,000 MBEZI MPIJI
USAFIRI DALA DALA 600
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI NJIAYA MPIJI #230k
===
Vyumba 2VIWILI vya kulala kimoja master bedrooms sebule jiko na public toilet
===
Kodi 230,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 3.5 Usafiri dala dala zipo
600
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
===