2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







300,000 x6 MBEZI KIBANDA CHA MKAAA 0759151524
APARTMENT INAPANGISHWA
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NDANI
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 300K/= X 6 FIXED PRICE
🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA VIZURI HADI KWENYE NYUMBA ZOTE NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437