2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi beach (Almas Street)
Ina Vyumba Viwili Vya Kulala (kimoja mastar ),Sebule , Jiko na Choo cha public
Inajitegemea kwenye umeme
Bei : 650,000 Tsh Kwa Mwezi ( Malipo yanajumuisha gharama za maji ,ulinzi na usafi)
Kwa maelekezo zaid pga sim
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp