2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA (OPEN KITCHEN)
#HAKUNA MASTER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250K X6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 NA KUENDELEA
APARTMENT HII ZIPO MBEZI KWA YUSUPH NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI DALADALA SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE DALADALA UNATEMBEA DK 3 TUU UPO KWENYE NYUMBA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Kupelekwa kweny nyumba elfu kumi na tano dalali mwenzi mmoja ITAKUWA WAZI TARE 25/11/20/25
INAWEZEKANA KUONA NAKULIPIA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















