2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Nyegezi, Mwanza


APARTMENT INAPANGISHWA NYEGEZI
-ina vyumba viwili vya kulala kimojawapo ni self contained, sebule, jiko, stoo na public toilet
-umeme na maji unajitegemea
-kodi Milion 5 kwa mwaka
-malipo ni miezi sita (6)
☎️ 0743220097