2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
ZIPO APARTMENT NNE KWENYE FENSI MOJA.
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO OPEN KITCHEN, LENYE MAKABATI, INA FENI SEBULENI NA VYUMBANI.
MAJI DAWASA MITA INAJITEGEMEA, NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU, KITUO SHULE YA MSINGI.
KODI: 250000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111