2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


APARTMENTS ZINAPANGISHWA, ZIPO NDANI YA FENSI. (NI MPYAAA) ZIMEBAKI MBILI TUUUU
ZINA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER) VYUMBA VYOTE VINAWEKWA MAKABATI | SEBULE | JIKO LINAWEKWA KABATI | FENI SEBULENI NA VYUMBANI KOTE | HEATER VYOONI KOTE | TENKI LA MAJI LAKUJITEGEMEA LTRS 3000
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU, KITUO KONA MATAA
KODI: 300,000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.