2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENT NI TATU TU...
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA | SEBULE | JIKO LENYE KABATI | TENKI LA MAJI.
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU, KWA RAIS.
KODI: 200000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.