2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Sinza
Bei: 1,000,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Kuingia Trh 1/1/2026. Unaweza Kuona Na Kulipa
☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master, Sebule Dining, Jiko Na Choo
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Fensi & Parking
☑️Usalama, Mtaa Mzuri, Balcony
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Calls & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988
Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle


















