2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#LOCATION: UBUNGO KIBANGU JUU/ BARUTI
UKIPITIA BARUUTI UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU USAFIRI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#AIR-CONDITION
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN NZURI
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI SHILINGI LAKI 3
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776246
0754 221168



















