2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







🇹🇿NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Location: UBUNGO RIVERSIDE MAKOKA
Distance: KM 2 KUTOKA MANDELA ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
Ukishuka Unapiga Geti Teke
Price: 500,000 × 6
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️VYUMBA VIWILI VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO ZURI LA KISASA
✅️PUBLIC TOILET YA NDANI 🚻
-TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
-NDANI YA FENCE
-PARKING SPACE IPO
-PAVING BLOCKS 🚫 ZITAWEKWA
✅️UMEME LUKU YAKO
✅️MAJI METER YAKO PIA YANAFLOW NDANI 24HRS
✅️RESERVE TANK
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp