2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment ya vyumba viwilli (400,000) #UBUNGO_KIBO
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
UBUNGO KIBO
DK 15 TOKA MOROGORO ROAD
AU BODABODA 1000 MPAKA MLANGONI
BEI NI 400,000/= × 6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
MAZINGIRA SAFI PAVING BLOCKS
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300