2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KODI 400k X6
LOCATION UBUNGO EXTENO MAJI CHUMVI USAFIRI BAJAJI DALADALA 500
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER
#SEBRE KUBWA NA JIKO OPEN KICHEN PIA KUNA JIKO KWA NJEE NAPO
#PABLICK TOILET NDAN
#UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
#MADILISHA KIOO KAMA UNAVYO JIONEA HAPO KWENY VIDEO
#MAJI DAWASA YANAFROO NDANI SAA24
# NYUMBA IPO NDAN YA FENSI PARK SPEC KUBWA
UKIONA POST CHANGAMKA NDUGU MTEJA NYUMBA IPO SEHEM NZURI BARABARA RAFIKI KWA GARI YEYOTE KARIBU SANA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347