2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Uwanjani, Songwe







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME LUKU YAKE
MAJI YA BILI DAWASA
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE
UWANJANI PAVING BLOCK
KODI 300,000 X 3,4
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA SIFA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347