2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Uwanjani, Songwe







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
🛣LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET NDANI
ZIPO MBILI TU NDANI YA FENCE
UWANJANI PAVING BLOCK
UMEME LUKU YAKE
MAJI YA BILI DAWASA WAPANGAJI 2 TU
💰KODI 250,000 X 4,5,6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
#0625606710