2 Bedrooms House/Apartment for sale at Madale, Dar Es Salaam


✨NYUMBA NZURI SANA ZINAUZWA
NI APARTMENTS ZIPO NNE
✨Aparment mbili Zina vyumba viwili kimoja ni masterbedroom, sebule kubwa , public toilet & jiko lakisasa ||Apartment nyingne mbili ni chumba kimoja sebule na jiko (pia kuna office na boycotta) NB: APARTMENT ZOTE ZINAWAPANGAJI
✨Ukubwa wa eneo: sqmt 730
✨LOCATION:Madale Ushuani
✨BEI MILLION 440 (maongezi yapo)
✨DOCUMENTS: HATI MILIKI
✨UMBALI KUTOKA LAMI 1km
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽kwa mawasiliano zaidi tupigie:
0718 759287
0685 006223
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA



















