3 Bedrooms Furnished House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA FULL FURNISHED MBEZI BEACH
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Full air condition
Garden safi
Parking space kubwa
----------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 1200 kwa mwezi
Ilipwe miezi 3
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni USD 1200
------------
CONTACT
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beachπΉπΏ