3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







๐ NYUMBA MPYA YA VYUMBA 3 ๐
๐๏ธ Zipo nyumba 4 ndani ya fensi moja
๐ Mahali: Bunju โBโ
๐น Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni Master na makabati)
๐น Sebule na Dining ๐๏ธ๐ฝ๏ธ
๐น Jikoni yenye nafasi
๐น Choo cha public + stoo
๐น Maji ya DAWASCO (unajitegemea) ๐ง
๐น Umeme wa LUKU (unajitegemea) โก
๐น Full Air Condition (AC) โ๏ธ
๐ธ Kodi: TZS 750,000/= kwa mwezi (Malipo kuanzia miezi 6)
๐งพ Service Charge: TZS 20,000/=