3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







NI NYUMBA YA KUPANGA IPO KWENYE FENCE YA PEKE YAKE. #STAND ALONE 
LOCATION: BUNJU B 
KM 1.5 KUTOKA BARABARA KUU
 BAJAJI 700, 
BODA 1500
BARABARA NZURI KABISA HAINA KIPENGELE 
NI NYUMBA NZURI INAPANGISHWA 
250,000 KWA MWEZI 
SIFA ZAKE 
=========
VYUMBA VITATU 
( KIMOJA MASTER BEDROOM ) VIWILI VYA KAWAIDA
CHOO NA BAFU VYA PUBLIC
CHOO CHA NJE
TANK LA MAJI LA EMERGENCY 
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
O677370515 
NYUMBA NI YA KISASA INA FENSI YA UKUTA, TILES ,GYPSUM NA PAVING BLOCKS 
UMEME NA MAJI VYOTE VINAPATIKANA BILA CHANGAMOTO YOYOTE




















