3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







(250,000X6)BUNJU B
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
BARABARA NZURI KABISA HAINA KIPENGELE
NI NYUMBA NZURI INAPANGISHWA
250,000 KWA MWEZI
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU
( KIMOJA MASTER BEDROOM ) VIWILI VYA KAWAIDA
CHOO NA BAFU VYA PUBLIC
CHOO CHA NJE
TANK LA MAJI LA EMERGENCY
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
NYUMBA NI YA KISASA INA FENSI YA UKUTA, TILES ,GYPSUM NA PAVING BLOCKS
UMEME NA MAJI VYOTE VINAPATIKANA BILA CHANGAMOTO YOYOTE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024