3 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA GOBA LASTANZA
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 20,000/=
Kodi 650,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6.5
------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH 🇹🇿