3 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


180 millions mazungumzo matakatifu yapo 
Goba Mageti, meters 200 kutoka lami 
NYUMBA 3: 
1. Kubwa ya vyumba 3 viwili masters, Sebule, Dining, Jiko na public toilet 
2. Nyumba ya vyumba 2 kimoja master, Sebule, jiko na public toilet. Ina mpangaji analipa 300k kwa mwezi 
3. Master, Sebule na Jiko. Ina mpangaji analipa 200k kwa mwezi 
UKUBWA WA ENEO: Square meters 450
0714733355 nipigie/WhatsApp



















