3 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







#STAND_ALONE/INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE MPYA KABISA INAPANGISHWA KIBAMBA HOSPITAL #500k
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko kubwa na public toilet
Kodi 500,000 Kwa mwezi Γ6
Umbali Dakika 10 Tu Kwa mguu
Fence mafundi wapo site wanaendelea kujenga, pervings zinawekwa na geti
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
CONT
0683234124
0718367179