3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


ER NYUMBA YA KISASA
INAUZWA - FURSA YA KIPEKEE!
+* Maelezo ya Nyumba:
Vyumba 3 (kimoja Master Bedroom) Sebule yenye nafasi kubwa + Dining
Jiko la kisasa lenye makabati
Choo cha jumuiya (Public Toilet)
Full Air Conditioning (AC)
Electric Fence kwa usalama wa uhakika
Servant Quarter kwa msaidizi
Garden safi na ya kuvutia
, Ukubwa wa Eneo: 740 m?
Hati miliki ya Wizara (Title Deed)
Bei: TZS 350,000,000 (Maongezi yapo)
Kivutio cha kipekee: Nyumba tayari ina mpangaji anayelipa 800,000 TZS kwa mwezi - fursa ya kupata kipato mara moja baada ya kununua.
Mahali: [Kigamboni, Gezaulole (Block 18)] CALL 📞 #0683491594#0716974073