3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI BODA ELFU MOJA.
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#KIMOJA MASTER BEDROOM
#SEBLE KUBWA SANA MNO
#DINNING ROOM KUBWAAA
#JIKO KUBWA SANA LA KISASA
#PUBLIC TOILET YA NDANI UMO UMO
#MAJI YANA FLOW CHOONI NA JIKONI
#UMEME MAJI INAJITEGEMEA MWENYEWE
#NYUMBA IPO NDANI YA FENCE KUBWAAA
#PARKING SPACE KUBWA IPO KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TSH 250,000/=X"6 "
WHATSAPP
##0655256419