3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







350,000 X6. STAND ALONE KUBWA. YA KIFAMILIA 
MPYA MPYA KIMARA MWISHO 
HII HAPA STAD ALONE WAHI CHAPU INAPANGISHWA 
KODI 350,000X6 
LOCATION KIMARA MWISHO
UMBALI KM 1.
KUTEMBEA DK 15
BODA 1000
VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA NA TOILET PUBLIC YA NDANI 
  HAINA FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
SIMU 0677445508
WSP 0




















