3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI ITAKUWA WAZI TAR 1.2.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐