3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA STOP OVER DK5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
----
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000/=
Kodi 700,000/=×6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7
-------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏