3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTI DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI. BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA.
-----
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa.
Jiko kubwa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000
Kodi 700,000/=×6
------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7
-------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















