3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam





NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6
π ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/05/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO NA ZIPO 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDEN
BEI NI 550,000/= X 6
π«π« NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.