3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.42 MILIONI,KIMARA MWISHO.
Ni jirani sana na Barabara ya Morogoro/zkituo cha Mwendokasi.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kwasasa ina Mpangajie ambae analipa Tshs.400,000/Mwezi.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Na eneo linafikika kwa Gari minimum yote.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.