3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
π NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#STORE
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
BEI NI 450,000/= X 6
πΉπΏ NYUMBA HII KUBWA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637