3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA SANA INA PANGISHWA KIMARA STOP OVER
KODI 400,000X6
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA LA MAKABATI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA HII INAFANYIWA UKARABATI NA KUWEKA TAILS VYUMBA PAMOJA NA RANGI
ITAKUWA TIYALI KUINGIA TAREHE 20/5/2025
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
0712656027