3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_HII KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #300k
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
075£454167