3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA IMEBAKI MOJA TU KIMARA SUKA DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM.
SEBLE KUBWA SANA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
FULL AIR CONDITION
MAJI YANA FLOW
GARDEN SAFI
MAZINGIRA MAZURI SANA
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 800,000/=ร6
AGENT FEE 1 MONTH
SURVEY CHARGE 20K
CONTACT
CALL/WHATSAPP...O677370515