3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 400K MALIPO MIEZI X 6
APARTMENT KWENYE FENCI ZIPO (4)
LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM 2
USAFIRI BAJAJI SH.500 DALADALA ZIPO UKISHUKA DK 10 KWA MGUU
SIFA ZAKE 👇
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO FULL MAKABATI
TOILET BUPLICE NDANI
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 400,000 MALIPO MIEZI X 6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747