3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, DINNING, STORE, GERAGE PARKNG, CHOO&BAFU, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, NOAH1000/=
*KODI 600,000/= KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
_____________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347


















