3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APPARTMENT MPYA NA KALI INAPANGISHWA KIMARA STOPOVER UMBALI WA DK 8
NYUMBA MPYA IPO FINISH YA MWISHO WAHI
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA.
-SEBULE KUBWA
-DINNING KUBWA
-VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
-PUBLIC TOILET
-JIKO KUBWA FULL MAKABATI
-STOO
-PARKING KUBWA
-PEVING BLOCK
KODI NI 600,000 ILIPWE MIEZI 6
NYUMBA IPO HATUA ZA MWISHO WAHI MTEJA WAKO AKAE JIRAN NA BARABARA.
#0710614924
#0688653940