3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 500,000/= X 6

💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027

Upendo Tarimo
dalali_tarimo_ubungo_kimara
Upendo Tarimo

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA LOCATION: Kimara KorogweBei: 450,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6Km1 Ku...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

HAKUNA KAMA IZI KOROGWE NZIMARUKSA KULIPIA LOCATION:KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI 500UKISHUKA DK3 U...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 380,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 380,000/= X 6BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI L...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT KUBWA NZURI INA PANGISHWA ROOM 2 SEBLE NA JIKOKODI 300,000X6NI CHUMBA MASTER SEBULE NA SI...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Nyumba inayojitegemea yenyewe inapangishwa ipo kimara korogwe maeneo ya kilungule kwa mwarabu (Darwe...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 380,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 380,000/= X 6BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI L...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 380,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 380,000/= X 6BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI L...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

🏡House For Rent #Stand Alone Location: KIMARA KOROGWE Distance: 2 Minutes From Mwendokasi 🚶PRICE: ...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTI DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI -----Vyumba 3 vya kulala kimoja ma...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1 KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala kimoja master bed...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK1.5 KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala kimoja master b...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT 2 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK12 KUTOKA LAMI ------Vyumba 3 vya kulal...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala kimo...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KODI 400,000X6 KIMARA STOPOVER________LOCATION: KIMARA STOP OVER UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU BODA 1...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#OFA #OFA #OFA NIMEISHUSHA MIEZI TU KWA SASA NJOO NA 250X4 NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGIS...

3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 46,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWAIPO KIMARA BBEI TSH MILIONI 46 MAONGEZI YAPOUKUBWA WA ENEO SQM 400UMILIKI:MAUZIAN...

House for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIMARA TEMBONI UMBALI ; KILOMETER 1 KUTOKA LAMIINA VYUMBA SITA VYA KULALA,...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Location Kimara Korogwe Barabara ya zege au Unaweza K...

3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NYUMBA KUBWA NZURI INAUZWA KIMARA SUKA UMBALI DAKIKA 15 NJIA NZURI MPAKA KWENYE NYUMBAVYUMBA VITATU ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIMARA STOP OVER DAKIKA 5_6 KWA MGUU KODI 250,000X6 VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER ILA KUNA ...