3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BADO FINISHING NDOGO NDOGO TU KUMALIZIWA
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=ร6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐