3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya vyumba vitatu (500,000) #KIMARA_KOROGWE
HIZI NYUMBA ZIKO 3 TU KWENYE FENSI MOJA ZIKO MBALI MBALI KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/07/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#DINNING
#PUBLIC TOILET
#PAVING ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA METER YA MAJI INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE DK 15 KUTOKA MWENDOKASI BAJAJI AU DALADALA /500TU UKISHUKA MPAKA KWENYE NYUMBA DK 7 KWA MIGUU
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300