3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
KODI 400,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
DINNING
JIKO KUBWA SANA LA MAKABATI JUU NA CHINI
STORE
KILA CHUMBA KINA MAKABATI YA NGUO
PIA KUNA SERVANT COTTER YA CHUMBA KIMOJA NA MABANDA YA KUFUGIA
UMBALI KM 1.2
BODA BODA 1000
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
UKILIPIA NYUMBA HII INAPIGWA RANGI YOTE NA SERVICE NDOGO KUMALIZIWA UNAKABIDHIWA NYUMBA MPYA KABISA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747