3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE HOUSE FOR RENT ##600K.
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.8 KUTOKA MOROGORO ROAD.
Nyumba inajitegemea yenyewe kwenye fensi, perving block, Electric Security guard, Air condition, Rezev Simtank, Umeme na Maji Dawasa 24hrs.
Ina vyumba 3 vya kulala, Viwili Master bedrooms, Sebule, Dining, Jiko na public toilet.
Servant coter ya Chumba Master & public toilet.
KODI NI LAKI 600,000/=
KWA MWEZI.
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-----------
NB .
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO TU NA KODI NI MIEZI SITA " HAIPUNGUI ".


















