3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(600,000 × 6) #STAND_ALONE 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= × 6
💫💫NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#VYUMBA VYOTE VINA MAKABATI NDANI
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#PARKING KUBWA
#GARDEN
BEI NI 600,000/= × 6
💫💫NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE IPO KIMARA KOROGWE UWANJANI NJIA YA KUELEKEA RIVER SIDE
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















