3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIYA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA MWISHO KM1.3 KUTOKA LAMI.
--------
Vyumba 3 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Paving blocks
Parking space kubwa l
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏